Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani Na anachuki na wachezaji fulani Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari...
4 Reactions
18 Replies
696 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je unaposoma cozi hiy utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana. Achana na akina Wema Sepetu. Achana na akina Mobeto. Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya. Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
8 Reactions
45 Replies
901 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
1 Reactions
112 Replies
1K Views
Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro imezindua wodi ya kisasa ya wanawake wajawazito itakayotoa fursa kwa mwanaume kuingia wodini wakati mke wake akiwa kwenye hatua za kujifungua...
2 Reactions
28 Replies
277 Views
Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones, Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu? ni...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
13 Reactions
272 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa clip: 1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika 2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar 3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua...
1 Reactions
10 Replies
166 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,139
Posts
49,766,200
Back
Top Bottom