Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amezindua wodi maalumu ya wanajwazito na kujifungua kwenye hospital ya Kanda KCMC ambayo itawaruhusu Wenza (wanaume,kina baba) kuingia na kushuhudia wake zao...
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.
Hawa mademu wa Kizaramo wana...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho...
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya.
Lakini majority...
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.