Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi. ======= Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
2 Reactions
17 Replies
777 Views
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
8 Reactions
40 Replies
789 Views
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
7 Reactions
128 Replies
2K Views
Ni Tiba Kwa Matatizo ya Tumbo: Kunywa mchanganyiko wa jeli ya aloe vera na maji nusu kikombe mara mbili kwa siku kwa siku tatu hadi wiki moja. Hii hutibu vidonda vya tumbo, kiungulia, na husafisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete
5 Reactions
33 Replies
720 Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
5 Reactions
96 Replies
5K Views
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa Simba wako mbioni kukamilisha usajili wa kocha mmoja kutoka Afrika ya Kusini. Kama tetesi hizi ni za kweli basi simba watakakuwa wanakosea, huu ni mtazamo...
2 Reactions
16 Replies
207 Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
17 Reactions
57 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,952
Posts
49,815,791
Back
Top Bottom