India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.
Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe...
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na kulipa fedha Sh milioni 35 walizoiba na pia Mahakama...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la...
MJUMBE HAUWAWI.
Nimepitia comment kwenye hii post.
Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii.
Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni?
Nikaendelea...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.