India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.
Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe...
DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa...
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
Julius Malema wakati wa harakati zake za kisiasa na wakati wa Kampeni za mwaka huu, alijiegemeza Sana kwenye kukishambulia chama cha siasa cha pili kwa ukubwa nchini Afrika ya Kusini.
Malema...
Bibie Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza Mwanamke...
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.