Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimepata Phy D Math D Chem C Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo MSAADA WA MAWAZO WAKUU...
1 Reactions
8 Replies
142 Views
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
0 Reactions
8 Replies
83 Views
Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima. Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa...
4 Reactions
16 Replies
601 Views
BORESHA AFYA YA MTOTO KWA FOREVER KIDS Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Forever kids ni Mult-Vitamini kwa ajili ya mtoto.Ipo kwenye vidonge vitamu kama pipi hivyo kufanya watoto wavipende...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, CHADEMA wanaendelea kutuonesha kuwa hakuna wanaloliweza. 1. Uongozi wa kifalme: Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu. Hili ni tatizo katika uongozi wao. Hata kama katiba...
0 Reactions
4 Replies
39 Views
Kule X jamaa tayari kafuta taarifa zote za CHADEMA kabakiza hizi. Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe. Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo...
5 Reactions
71 Replies
2K Views
Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa...
0 Reactions
1 Replies
8 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,835
Posts
49,787,022
Back
Top Bottom