Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
208K Views
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini...
3 Reactions
22 Replies
414 Views
Julius Malema wakati wa harakati zake za kisiasa na wakati wa Kampeni za mwaka huu, alijiegemeza Sana kwenye kukishambulia chama cha siasa cha pili kwa ukubwa nchini Afrika ya Kusini. Malema...
4 Reactions
6 Replies
104 Views
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa. Basi kutoka na ninayoyaona hapa ndani ya nchi hii ikabidi...
7 Reactions
64 Replies
961 Views
Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa...
3 Reactions
4 Replies
129 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
4 Reactions
51 Replies
419 Views
Habari zenu. Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana.Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo? Nawaza sana maisha mpaka nakonda...
0 Reactions
13 Replies
75 Views
Kule X jamaa tayari kafuta taarifa zote za CHADEMA kabakiza hizi. Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe. Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo...
5 Reactions
66 Replies
2K Views
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
11 Reactions
61 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,803
Posts
49,786,669
Back
Top Bottom