Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
20 Reactions
84 Replies
2K Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
1 Reactions
17 Replies
84 Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
12 Reactions
203 Replies
2K Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
20 Reactions
146 Replies
2K Views
Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi? Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote...
0 Reactions
10 Replies
122 Views
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
16 Reactions
82 Replies
6K Views
Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
0 Reactions
8 Replies
119 Views
Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea. Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7...
0 Reactions
0 Replies
6 Views
NILIAHIDI KUJA NA USHAHIDI IKIFIKA SAA 1:45 USIKU.NASHUKURU NIMEKUJA ON TIME MAANA SAA YANGU INANIAMBIA SASA NI SAA 1:45 hahahahah usilazimishe saa yangu na zenu zifanane NAMI NIMESOMA KWA MAKINI...
50 Reactions
712 Replies
69K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
7 Reactions
124 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,775
Posts
49,785,821
Back
Top Bottom