Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.
Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo.
Novemba 13, mwaka 2012...
UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K.
Anaandika, Robert Heriel.
Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha...
Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la...
DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa...
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.