Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi? . Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
1 Reactions
48 Replies
937 Views
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji. Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa...
1 Reactions
6 Replies
20 Views
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata...
12 Reactions
69 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
2 Reactions
26 Replies
592 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Dhana ya Kuabudu Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu. Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu. Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako...
30 Reactions
475 Replies
11K Views
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana. Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha. Lakini kwa maoni yangu...
12 Reactions
260 Replies
16K Views
Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika Kusini anayekipiga Alhly ya Misri Hongera Simba
8 Reactions
85 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,772
Posts
49,785,670
Back
Top Bottom