Shimo la mvuto liko katikati ya bahari kilomita 1,200 kusini-magharibi mwa Kanyakumari (a.k.a. Cape Comorin), ncha ya kusini kabisa ya bara Hindi karibu na Sri Lanka.
Bahari ya Hindi Geoid Low...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
Uzalishaji wa umeme unapokidhi mahitaji nchini unachangia kwenye ukuaji wa uchumi kutokana na shughuli nyingi za viwanda vikubwa na vidogo kuendeshwa kwa utegemezi wa umeme Umeme unapokua wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Hili ni ombi langu kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA)
Pia nimeona vyema kuleta hapa JF ili kupata maoni na ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali...
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za...
Wakuu.katika harakat za kufatilia taarifa za coin tofauti tofauti nimekutana naoffer kama izi .....nyingi ikiwemo na kwenye account za watu wakubwa kama Trump. Je ni kweli watuma izo $5000
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri...
Miaka ya nyuma kidogo uliibuka mvutano baada ya kuusemekewa kuwa ukanda wa bahari unaoizunguka Zanziba una mafuta. Kuna sauti za nguvu sana zilizosikika kutoka Zanzinbar zikidai kuwa hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.