Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
11 Reactions
48 Replies
543 Views
Haya ndio yanayojiri. Mambo huku ni bads number! Ninomaaaaaaaaaa! Kina mtambuzi mmetshaaaaa! Lara 1 ndani ya nyumba,si ya kuhadithiwa! Mashauz yamepata wa kujishaua! Mambo ndo yameanza...
14 Reactions
437 Replies
22K Views
Salaam wana JF Weekend imeendaje kwenu Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri Hii huenda imeshuhudiwa na...
3 Reactions
6 Replies
126 Views
Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu. Walionipa taadhari ni watu...
21 Reactions
109 Replies
1K Views
  • Suggestion
Hivi kila mmoja wetu hapa sianaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
2 Reactions
17 Replies
150 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
16 Reactions
100 Replies
2K Views
Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
13 Reactions
43 Replies
720 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
6 Reactions
108 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,580
Posts
49,779,545
Back
Top Bottom