Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu...
Nime notice kitu kutoka huko uraiani ni zaidi ya mara kumi nimeona wanaume wakiikataa mboga ya majani ya chainizi migahawani na hata mahotelini..
Watu kibao utasikia aaa chainizi toa situmiagi...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Anne Makinda ameelezea historia yake fupi ya maisha toka enzi anasoma hadi kuja kufanikiwa kuwa kiongozi mkubwa bungeni...
Morning members.
Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi.
Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.
This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.