Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
5 Reactions
21 Replies
222 Views
Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi...
3 Reactions
10 Replies
354 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar. --- APSEZ...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
90 Reactions
2K Replies
143K Views
Asee mnaohudhuria VIWANJANI mnakumbana na mengi.
0 Reactions
2 Replies
24 Views
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu...
6 Reactions
72 Replies
1K Views
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
2 Reactions
33 Replies
481 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,188
Posts
49,767,625
Back
Top Bottom