Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Sijajua katika hayo mambo manne Tanzania tunakwama wapi?!🐼 Watu tuko zaidi ya million 60 Ardhi ina kila kitu Mazao, Misitu, Madini, Mito, Maziwa, Wanyama, Bandari, nk...nk Siasa Safi tunao CCM...
0 Reactions
12 Replies
113 Views
Wanajukwaa, Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa...
7 Reactions
1K Replies
56K Views
Bab angu mdgo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyo umia kwa kile mdg wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakt sisi Ni wakristo ,mzee anasema HV wanaume wameisha kias kwamba...
0 Reactions
28 Replies
161 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
2 Reactions
11 Replies
81 Views
Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini. Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
9 Reactions
39 Replies
436 Views
FOR RENT NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI. MAELEZO ZAIDI - 0679268006 Ipo Mbezibeach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala. Maji...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wasalamu wakuu. Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania. Maneno aliyozungumza kupitia...
3 Reactions
17 Replies
306 Views
wakuu mambo vipi nahitaji google playstore account mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
0 Reactions
3 Replies
23 Views
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM chama Dume amesema Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama jasiri na profesa wa Siasa Samia S.Hassan ndio awamu pekee Iliyoongoza kumwaga na kumimina mabilioni...
1 Reactions
72 Replies
435 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,223
Posts
49,768,628
Back
Top Bottom