Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Karibu uwezeshwe na huduma ya SME Kutoka Airtel kwa Tshs 5000 na hii ni baada ya kazi. Na inabidi uwe na laini ya Airtel ambayo haijawahi kuwezeshwa na hii huduma lakini pia isiwe na huduma ya...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini. Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
1 Reactions
27 Replies
153 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
11 Reactions
67 Replies
450 Views
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo? Je tukisema...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
60 Reactions
94 Replies
2K Views
wakuu mambo vipi nahitaji google playstore account mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato...
6 Reactions
18 Replies
945 Views
Wasalamu wakuu. Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania. Maneno aliyozungumza kupitia...
1 Reactions
9 Replies
132 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
2 Reactions
8 Replies
9 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,213
Posts
49,768,404
Back
Top Bottom