Karibu ujipatie spare parts bora Zaidi za HOWO, Tunatoa huduma ya matengenezo, Pia ni wauzaji wa Truck za HOWO(Mende, tractor n.k)
Tunapatikana kurasini Karibu na Chuo cha diplomasia
Kwa...
Habari madaktari wetu!
Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes)
Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli?
au...
Waumini wengi wa zinazoitwa dini mbili kubwa za Tanzania kuna mambo kadhaa inabidi mbadilike kuendana na mabadiliko ya wakati.
1. Kusalimia kila mtu "salameleko"
Sijawahi kuelewa sababu za baadhi...
Na mara kwa mara ninapoziona Angani huwa nakuwa na Hofu kwani nasikia nyingi ni za zamani hazifanyiwi Service. Pona pona yake ni Mganga wake Hatari na Mizimu ya Kabila moja Afrka lenye Urafiki...
Ni siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake...
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex...
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.