Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za asubuhi wakuu,..? Aisee ninaomba msaada mwenye kufahamu wapi nitapata viroba vya kilo mia, mia hamsin, vyakubebea mahindi, mchele, nk. Ninahitaji pisi nyingi, kuanzia elfu kumi...
2 Reactions
3 Replies
45 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
46 Reactions
181 Replies
2K Views
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke. Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume. Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE NANE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele nane vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
11 Reactions
48 Replies
344 Views
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni. Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
1 Reactions
10 Replies
171 Views
MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na...
15 Reactions
3K Replies
128K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,184
Posts
49,739,906
Back
Top Bottom