Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa...
5 Reactions
12 Replies
117 Views
Waziri Jerry Silaa ameongea kitu kikubwa sana aliposema Mhalifu mmoja analindwa na Jaji( Mahakama) Kibiblia Jaji ni Wakili wa Mungu wa mbinguni anayesimamia Haki na siyo vinginevyo Binafsi huwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
4 Reactions
70 Replies
258 Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
19 Reactions
2K Replies
44K Views
Ukraine kwenye hili mumeenda mbali hata mimi shabiki wenu kindaki ndaki nimeingiwa na wasiwasi. Kupiga radar inayotumika na Urusi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nyuklia mtakua mumevuka mpaka...
4 Reactions
11 Replies
878 Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Kijana unaepambana kimaisha ukipata acheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana...
8 Reactions
41 Replies
656 Views
FOREVER BEDROOM PACK ( KIFURUSHI ) 1. ARGI + 2. MULTI MACA 3. VITOLIZE FOR MEN Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. ARGI +. (FOREVER ARGI PLUS ) 🫴🏾Kirutubisho hiki kipo kwenye mfumo wa unga...
1 Reactions
1 Replies
5 Views
1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi...
1 Reactions
12 Replies
91 Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni...
8 Reactions
71 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,831
Posts
49,730,042
Back
Top Bottom