'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro. Mbowe tumia...
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Mungu ibariki Israel
Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90)
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close...
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.