Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
7 Reactions
24 Replies
421 Views
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
13 Reactions
283 Replies
14K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
21 Reactions
282 Replies
7K Views
. Hakuna mwanaume mwenye hasira na wivu mkali kwa mwanamke asiye mhudumia wala kumlipia mahari labda awe mpumbavu. Mauaji mengi ya mwanaume kumuua mwanamke sio kwa sababu ya wivu wa mapenzi bali...
0 Reactions
9 Replies
125 Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
4 Reactions
39 Replies
287 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu. Ujanja au ushamba?
2 Reactions
8 Replies
38 Views
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito. Kipindi...
11 Reactions
44 Replies
485 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,321
Posts
49,688,032
Back
Top Bottom