Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
Mkutano huu pichani ni wa saa 4 asubuhi leo hii kwenye kijiji cha Ughandi, unaambiwa wananchi wengine wameingia mkutanoni na miswaki yao!
Hili ndio jimbo linaloongozwa na mbunge anayeitwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.