Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
"Mara ya kwanza wakati nakutana na Ronaldo kwenye mechi nilikuwa naitumikia timu ya Parma. Dakika chache baada ya mechi kuanza, nilikutana nae macho kwa macho akiwa anafanya mikimbio huku...
Asanteni sana BBC ( English Version ) kwa Kuichambua vilivyo Helicopter iliyofanya yake Jana. Kutwa tu Kupanga Mashambulizi dhidi ya Taifa Teule la Mungu la Israel huku ukiwasaidia Hamas na...
Wasalaam,
Dunia inaendelea kubadilika kila siku. Tunaona kuwa maneno yanapotea na badala yake namba na teknolojia ya kidijitali vinachukua nafasi kubwa.
Tangu tunapozaliwa, tunapewa vyeti vyenye...
kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya...
Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?
Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana...
Kanisa linadai picha hizo ni kwaajili ya kuvutia Ibadan ya watoto??.
Hapana!!! ... Kanisa linaanza kuingiliwa?.
.
.
.
Na huyu Ndio Pasta Mchome... Kwa tuliosoma Cuba , tunaelewa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.