Habari za wakati huu.
Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025.
Young Africans aliibuka mshindi...
Wakuu habari, kuna mjazmzito hapa kapitiliza siku zake za kujifungua, leo hii ni siku ya 13 tangu tarehe ya makadirio aliyo andikiwa. Huu ni ujauzito wake wa pili na wa kwanza haukuwa na...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale.
Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni...
Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.