Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
17 Reactions
167 Replies
4K Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
17 Reactions
113 Replies
2K Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
25 Reactions
272 Replies
9K Views
GENTAMYCINE pole sana ila upunguze mdomo na uongo uongo, Simba msimu huu hakuwa na kikosi cha maana.
4 Reactions
69 Replies
1K Views
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.... Unajua hadi inatia woga hata kule...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwema wanajf, naomba kujuzwa taratibu Gani za kufuata unapohitaji kuoa mke wa kiislamu , kijana wenu nahitaji kuoa aisee nasikia ndoa tamu sana. NB,wale kataa ndoa msichangie
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Kwa kweli matrafiki ni wengi sana barabarani. Hawatoi elimu kuhusu matumizi ya barabara, lugha yao ni kupiga faini tu. Inachosha kwa kweli. Nimewahi kufanya safari ya usiku sikuona traffic hata...
0 Reactions
2 Replies
7 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
7 Reactions
57 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,519
Posts
49,664,999
Back
Top Bottom