Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko.
Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa.
Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na...
Salaam,Shalom!!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga HOJA Imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.