Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi...
Salaam,Shalom!!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga HOJA Imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa .
Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake
Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
Mimi ningependa tu walokole mniambie kwa hii dhana yenu ya kuokoka hapa duniani mmeitoa kwenye maandiko gani, kwa sababu kwenye kupekua kwangu kote biblia sijaona hata mtu mmoja aliyerejewa kuwa...
Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.