Wakuu...
Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia.
Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia...
Pamoja na mapungufu mengi...angalau kwa kwa sasa tuna lami....
Nakumbuka nilisafiri Dar Mwanza kwa mwezi mmoja na wiki mbili....nikifika Dodoma inn nabadilisha nguo navaa kaptula ya kazi na...
Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook...
"Mara ya kwanza wakati nakutana na Ronaldo kwenye mechi nilikuwa naitumikia timu ya Parma. Dakika chache baada ya mechi kuanza, nilikutana nae macho kwa macho akiwa anafanya mikimbio huku...
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
Mimi ni mfanya biashara mgeni kweny nafaka sasa na leo ni siku ya pili kweny hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau. Ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo...
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.