Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
14 Reactions
90 Replies
3K Views
Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nilikuwa mdau Sana wa uagizaji wa bidhaa ndogo ndogo toka nje na tayari Nilikuwa mzoefu kwenye chaguzi bidhaa ilikuwa ni nadra kupokea bidhaa isiyokuwa bora. Na kiutaratibu ilikuwa kwa kampuni...
0 Reactions
14 Replies
319 Views
Ukiona hivi vitu basi jua upo Bongo Tanzania Tupia aina kibwagizo
9 Reactions
55 Replies
437 Views
Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gadner G Habash na kutangaza warithi Wa...
0 Reactions
21 Replies
248 Views
Ukishasikiliza mazungumzo ya Mwalimu Nyerere katika hiyo video hapo juu sasa soma Hotuba yake aliyotoa Bungeni tarehe 10 Desemba, wakati Tanganyika inakua jamuhuri mwaka wa 1962. Hotuba ya...
21 Reactions
401 Replies
21K Views
Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu. Baada ya...
14 Reactions
23 Replies
802 Views
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router Nina Smart TV yenye kuingia...
2 Reactions
22 Replies
259 Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
4 Reactions
30 Replies
534 Views
Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
4 Reactions
28 Replies
307 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,494
Posts
49,664,164
Back
Top Bottom