Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wanabodi
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........
Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru...
Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu?. Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini...
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.
Nimekuwa...
Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yotesieli nawaza misabwana tu.
Hii kauli ilibadili maisha yangu sana.
Nikawa mpolee na familia..
Wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.