1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita...
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.
Ukweli...
kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo.
Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka...
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu.
ASANTENI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.