Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni. Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona...
30 Reactions
295 Replies
27K Views
The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology in Israel is purely under Satanic forces, and Benjamin Netanyahu seems to have imbibed a Satanic ideology through the teachings of...
1 Reactions
28 Replies
441 Views
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli...
32 Reactions
184 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani. Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki. Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki...
26 Reactions
77 Replies
2K Views
Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto...
1 Reactions
21 Replies
162 Views
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
9 Reactions
147 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,043
Posts
49,763,561
Back
Top Bottom