Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
20 Reactions
748 Replies
20K Views
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009. Hivi sasa yamebaki maghofu...
27 Reactions
123 Replies
9K Views
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Hisia hazitabiriki. Hisia zinabadilika haraka sana. Hisia zinaweka kufanya uharibu mambo. Hisia zitakufanya uhisi huna maamuzi kwa muda huo lakini akili ni maamuzi ya muda mrefu. Maamuzi ambayo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu. Baada ya...
8 Reactions
14 Replies
232 Views
Nduguzangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde sasa mkewangu huwa hapendi japo nilisha...
4 Reactions
22 Replies
294 Views
KITUO CHA MABASI MWENGE Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023 Ufadhili:fedha za ndani Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja. Gharama ya...
6 Reactions
14 Replies
551 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
5 Reactions
66 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,307
Posts
49,657,896
Back
Top Bottom