Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.
Ukweli...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki...
Habarini wana Jamvi.
Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto...
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni...
Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.