Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
Habari wan JF?
Nafahamu asillimia kubwa humu jamvini ni wale wametoka kwenye familia za kawaida.sasa swali langu ni hili.je wakati unaanza mapenzi,umeshawahi kula tunda uchochoroni au vichakani?na...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi.
Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi...
Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia.
Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa...
Habarini wana Jamvi.
Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto...
Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza...
MAZUNGUMZO GROUP LA WATSUP LA CHAMPIONS LEAGUE
Semaji Mamelod : Mnyamaaa 😭😭
Semaji Al Ahly : Pacha naumia sana kwa ajili yako
Semaji Mazembe : Jirani tutakumic sana Champions League
Mimi...
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.