Saido tangu ajiunge simba akitokea Geita amekuwa na mchango mkubwa sana, ndiye mchezaji pekee ambaye kila msimu katika idadi ya wafungaji mabao hakosi tatu bora, ndiye mchezaji anayejua kupiga...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.
Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa...
Inasemekana:
Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99.
Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote...
Mkuu wa Mkoa, Tuna changamoto kadha wa kadha cha kwanza, miradi ya maendeleo kutokamilika kwa wakati, Mkuu wa Mkoa kumekuwa na mabishano mengi sana kati ya Baraza, Mbunge na menejimenti, Kiasi...
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo...
Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye...
Watu wengi miongoni mwetu tunahitaji kuwa wa baba bora/ wa mama bora lakini hatujaamua kuwa wazazi,,wengine wanahitaji kuwa wanamuziki wazuri lakini hawajaanza kuimba bado, wengine wanahitaji kuwa...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi.
Taarifa kamili hii hapa
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.