1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo.
Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka...
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu.
ASANTENI.
Katibu Mkuu wa CCM Dr.Emmanuel Nchimbi ametoa angalizo Kwa Watanzania kuwajataa Wanasiasa uchwara wa Upinzani.
Akizungumza mjini Singida, amekemea Vyama Vya msimu na vyenye uroho wa madaraka...
Yule "Bwana" aliyetamba Jamiiforums miaka ya 2018 amekuja kivingine katika mtandao wa "Twirraaah".
Baada ya Kamati ya Roho mbaya ya Jamiiforums kumnyuka makombora na kumsimanga, akaamua atimkie...
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.
Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.