Ndugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi...
Habari Wana jukwaaa?
Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa...
Habari zenyu kwema?
Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
Saido tangu ajiunge simba akitokea Geita amekuwa na mchango mkubwa sana, ndiye mchezaji pekee ambaye kila msimu katika idadi ya wafungaji mabao hakosi tatu bora, ndiye mchezaji anayejua kupiga...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii
---
Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki...
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.