Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu? Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu.. Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha. Wengi wanaenda kutafuta...
7 Reactions
57 Replies
1K Views
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya! Huyu mwanamke anaijua...
8 Reactions
46 Replies
746 Views
Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Greetings siblings, Hope y'all doing fine. This is something very important you should think about. Millions of people never analyze themselves, Mentally they are merchanical product of the...
8 Reactions
110 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini...
69 Reactions
593 Replies
66K Views
Hello members! Kuna kitu kilitokea na binafsi kilinishangaza sana kwakweli ila usiniulize nikitu gani. Ni kuhusu wingi au uchache wa shahawa za mwanaume. Ni nini husababisha mwanaume kutoa...
4 Reactions
96 Replies
15K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
0 Reactions
10 Replies
167 Views
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana...
38 Reactions
247 Replies
3K Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
10 Reactions
41 Replies
547 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,067
Posts
49,764,392
Back
Top Bottom