Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto...
1 Reactions
24 Replies
221 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Ishu ya usawa wa kijinsia umeshika kasi sasa hivi, wanaume wananyanyasika na wake zao sana
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Samahani wana JF nauza gari yangu Toyota ractis no EAS rangi ya silver full AC. Nipo DSM, kwa maongezi nicheki 0744566124.
0 Reactions
5 Replies
116 Views
Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni. Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
10 Reactions
174 Replies
3K Views
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona...
30 Reactions
297 Replies
27K Views
Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika...
0 Reactions
3 Replies
68 Views
Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30...
1 Reactions
4 Replies
58 Views
Ladies and gentlemen, habari zenu!! Ivi kwa nini wengi wetu hatuwezi kudumu katika uhusiano bila kufanya ngono/mapenzi hadi tukioana? Hata walokole uvumilivu unawashinda jamani, yani mnatongozana...
0 Reactions
24 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,043
Posts
49,763,652
Back
Top Bottom