Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania.
Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa...
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Wakuu
Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi?
Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo.
Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active.
Wanaomfahamu...
Madudu anayoyaibua yanawaumbua watangulizi wake na hata "maRC"wa mikoa mingine. Kwa sasa anajulikana nchi nzima, lakini kuna watu hawayajui hata majina ya wakuu wa mikoa yao.
Mbali na kuwa...
Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi
Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea...
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini,Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua...
Kwa Ufupi,
Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuapa tarehe 19 March 2021 akamteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu.
Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na...
Tk movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.
Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.