Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
Habari wakuu
Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
Ndugu Wana JF,
Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi...
Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania.
Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Naungia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
Kwa Ufupi,
Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuapa tarehe 19 March 2021 akamteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu.
Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na...
Katika hali isiyo ya kawaida, mcheza filamu za ngono (porn star) maarufu anayefanya shughuli zake kwa ukaribu na jeshi la Ukraini (Armed Forces of UKRAINE-AFU) ajulikanaye kwa majina Yulia Senyuk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.