Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo...... Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini? Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
4 Reactions
69 Replies
721 Views
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu. Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
2 Reactions
56 Replies
669 Views
Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa...
2 Reactions
1 Replies
18 Views
Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini? Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara? Nahitaji ushauri 1. Biashara ikoje? 2. Kuagiza nje na kununua jumla...
3 Reactions
34 Replies
399 Views
Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore...
1 Reactions
6 Replies
92 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao. Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi...
2 Reactions
9 Replies
250 Views
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
2 Reactions
19 Replies
165 Views
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya...
43 Reactions
62 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,841
Posts
49,757,943
Back
Top Bottom