Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
4 Reactions
75 Replies
938 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Mtume Paulo Mtume Paulo ni Nani Mtume Paulo, alizaliwa miaka 6 kabla ya Kristo, Tarso huko nchini Uturuki ya sasa. Alikufa miaka ya 60 baada ya Kristo, Roma, Italia. Alikuwa mmoja wa viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
1 Reactions
62 Replies
896 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
5 Reactions
127 Replies
2K Views
Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA? Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera...
4 Reactions
17 Replies
534 Views
Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
3 Reactions
14 Replies
499 Views
Naombeni USHAURI WA kibiashara wakuu; nina mtaji WA Tsh 50,000/=(Elf hamsin). Je, Kwa mji WA Kilosa, nianzishe biashara Gani? Ahsanten sana!
0 Reactions
7 Replies
36 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe. Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc...
0 Reactions
2 Replies
13 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,771
Posts
49,755,698
Back
Top Bottom