Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Kutoka Dodoma Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amezindua matumizi rasmi ya magari ya umeme Kwa Wananchi wanapotaka kuyatumia.
https://www.instagram.com/p/C7nwUkRtb0m/?igsh=MTltOXdyenk3cjZieA==...
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo...
Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi ๐ Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa...
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.