Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo...
Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho...
Na. David Kafulila
NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
Wanyonge wanaomba majina, mkoa gani na je , mbona huwa hamuwataji?
Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amesema baada ya ukaguzi, wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu kwa kushtakiwa...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba...
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.