Habari za uzima Wana jf🙏
Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa.
Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale
Naomba tuiweke kando
Tujadiri hili.
Mimi ni mfugaji mzoefu na...
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo...
PAUL MAKONDA AMERUDI KUTEKELEZA MAJUKUMU AMBAYO MKOLONI TAYARI ALIYAONA TANGANYIKA, LAKINI BAADA YA UHURU SERIKALI IKAPUUZA MIKAKATI YA MKOLONI
Ukipitia shajara za waliokuwa ma DC wakati wa...
Naungia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu...
Humu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka.
Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha...
Wakuu
Familia imeamua shemeji yangu wa longido tutamsindikiza Arusha kwenda kuomba msamaha ni baada ya wazee kujadiliana na kuona kua makonda alikua katika utani.
Tunawaomba UWT na LHRC watuache...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.