Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far"
Salam za Shukrani amezitoa...
Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni...
Kila siku tunalia kuhusu kuadikika Kwa Dola licha ya juhudi za kukuza Uchumi lakini hakuna ambae anajadili jambo Hilo Kwa kuangalia sababu za msingi.
Mojawapo ya vitu vinavyosababisha kuadikika...
Habari za majukumu wakuu,
Najua ngumu watu kukupa njia ya mafinikio ila najua wapo wanaoweza kunipa.
Nimejaribu kutafuta uzi wa kwenda nchi jirani kusaka vibarua ila naona wengi waliuliza tu...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha...
Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
Jakaya Kikwete alitumia miauniza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktri kiasi ambacho watu walikuwa wanapa giwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa flani...
Naona Teuzi za Leo kwenye mambo ya Mipango zimesheheni Wazee Mabalozi Wasomi wa Zamani siyo hawa wa Extended High school
Sasa kwa Dunia hii ya Artificial intelligence sijui Upepo utawaendeaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.