Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia...
4 Reactions
19 Replies
686 Views
Kafulila anasema " Tatizo la ajira ni halisi lakini ni mtambukwa. Kuna wakati sekta binafsi ilikuwa inatafuta watu wenye sifa fulani inakosa wakati sokoni kuna wasomi bila ajira. Mtaala mpya...
11 Reactions
143 Replies
1K Views
Wasalaam JF team. Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe na kuteuliwa kuuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu, Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17...
10 Reactions
49 Replies
996 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
4 Reactions
78 Replies
1K Views
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
3 Reactions
28 Replies
473 Views
Kama ambavyo tayari imeshajulikana kwamba mwaka huu tuzo nyingi zitaenda Yanga (winner takes all) Viongozi, mashabiki na wapenzi wa Yanga Afrika kataeni huu uhuni unaotaka kufanywa na Tff kwani...
2 Reactions
20 Replies
191 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
15 Reactions
179 Replies
4K Views
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya...
2 Reactions
12 Replies
166 Views
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba...
0 Reactions
4 Replies
65 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,467
Posts
49,747,101
Back
Top Bottom