Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
Kafulila anasema " Tatizo la ajira ni halisi lakini ni mtambukwa.
Kuna wakati sekta binafsi ilikuwa inatafuta watu wenye sifa fulani inakosa wakati sokoni kuna wasomi bila ajira.
Mtaala mpya...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya...
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi)
Naomba...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi...
Wasalaam JF team.
Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe na kuteuliwa kuuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu,
Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.